Urary95 4:43 PM 0 comments KATIKA MNUSO WA MBONIE MASIMBA NI BAADA YA KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE KATIKA MNUSO WA MBONIE MASIMBA NI BAADA YA KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE Home » KATIKA MNUSO WA MBONIE MASIMBA NI BAADA YA KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE » KATIKA MNUSO WA MBONIE MASIMBA NI BAADA YA KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE Hapa dada mbonie akifungua mnuso huoooWageni nao walifuata kwa utaratibu maalumuUtaratibu wa kuchuka mnuso ukiendeleaaHapa akimlisha kipande cha keki rafiki wa karibu wametoka mbali jamaniiiakimlisha keki bibi harusi wakeNa dada yake anaeitwa Mariam akuwa mbali katika kulishwa kekiiAkiwa na marafiki zake katika kupata kumbukumbu katika siku hiyokama kawaida dada mbonie upambwa na tabasamu kila wakatiUlifika wakati wa kupewa zawadi toka kwa ndugu, jamaa na marafiki,akipokea moja ya zawadi hizoMmoja wa marafiki alimapatia zawadi ya skirtAlipata zawadi nyingi sana siku hiyo mwenyewe alishindwa kubebaHata ua pia ni zawadiDada Mbonie akiwa na Slyvia wakipata kumbukumbu ya pamoja siku hiyo Share This To : Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
0 comments:
Post a Comment