Searching...
Wednesday, April 28, 2010

shoo love ya lala salama kili music awards


Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya One Plus Commonications wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza majukumu yao kazi
Shoto ni Mfalme wa alamba alamba ammhh.! Mzee Yusuf wa Jahazi Modern Taarab,Mie pamoja na Mzee wa Komesho Ambwene Yesaya a.k.a AY tukiwa tumepozi kiaina ndani ya semina elekezi ya lala salama kili music awards 2010 ndani ya hotel ya Paradise jijini Dar
Toka shoto ni Banana Zorro kutoka B Band,Chid Benz a.k.a Buster Rhymes wa bongo kutoka La Familia Band pamoja na prodyuza mahiri kabisa kutoka studio za Fish Crub,Lamar
Daa Mrisho Mpoto noma kweli,katuangushia misemo yake hapa tukabaki tunacheka ile mbayaa
Wasanii mbambali wa tuzo za Kili Music Awardsa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza semina yao elekezi ya lala salama,kuhusiana na mchakato mzima wa tuzo hizo mpaka siku ya kilele cheyewe

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!