Neno La Leo: Ukiwa Na Hofu Ya Kuvuka Mto.....
Kuna Busara ya kale; Ukiwa na hofu ya kuvuka mto, basi, rusha walau kofia yako ng’ambo ya pili ya mto. Katika kufanya tendo hilo, unaweza usigeuke na kurudi nyuma, bali kuvuka mto na kuifuata kofia yako. Maana yake, ukidhamiria jambo si tu ulifanye, onyesha pia nia ya kulifanya jambo hilo hata kabla hujalifanya. Na katika kutekeleza azma yako hiyo, kuna makosa utayafanya, lakini ni binadamu gani asiyefanya makosa?
0 comments:
Post a Comment