Nyota wa muziki wa kisasa "Bongo Fleva kutoka Kenya Nameless (kulia) akiwa na Nyota Mwenzake wa Tanzania AY muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Nemeless ni mmoja wa wasanii watako tumbuiza katika shindano la Miss Universe.
Mwandaaji wa Shindano la Miss Universe Tanzania 2010 akimkabidhi maua Msanii Nameless.
Mwandaaji wa Shindano la Miss Universe Tanzania 2010 akimkabidhi maua Msanii Nameless.
0 comments:
Post a Comment