Searching...
Thursday, September 18, 2014

MANCHESTER UNITED ACHA WALE BATA TU, UEFA YENYEWE WANAIONA KWENYE TV!

WAKATI huu Manchester United haichezi mashindano ya ulaya, David de Gea na baadhi ya wachezaji wenzake wanafurahia mapumziko mafupi ya katikati ya wiki na kula bata tu.
Kipa huyo wa Hispania aliposti picha yake akiwa katika chakula cha usiku na Marcos Rojo, Rafael, Antonio Valencia, Andreas Pereira, Anderson, Angel di Maria, Ander Herrera na Juan Mata.
Kipa huyo wa zamani wa Atletico Madrid aliposti picha katika akaunti yake ya Twita akisema: 'Chukula cha usiku na timu'
David de Gea out for dinner with Marcos Rojo, Rafael, Antonio Valencia, Andreas Pereira, Anderson, Angel di Maria, Ander Herrera and Juan Mata
David de Gea akipata chakula cha jioni na Marcos Rojo, Rafael, Antonio Valencia, Andreas Pereira, Anderson, Angel di Maria, Ander Herrera na Juan Mata

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!