Searching...
Wednesday, August 13, 2014

VIJANA WANAHITAJI SUPPORT YENU WADAU MUWAUNGE MKONO KUJENGA TAIFA LETU.

Vijana wa kitanzania wamejiajiri wenyewe wanajihusisha na usambazaji bidhaa za IT(INFORMATION TECHNOLOGY) wanahitaji support yenu watembelee kwenye facebook page, like page and support vijana hawa kwa hatua waliofikia mawazo yako ni muhimu sana kwa vijana hawa pamoja na maoni yako kwa ujumla.vijana ni Taifa la kesho ambalo linaandaliwa leo.
Mungu wabariki vijana hawa,
Mungu ibariki Tanzania,
Ahsanteni.


0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!