Baada ya kumpokea kwa mikono miwili, Simba imeamua kumrudishia Emmanuel Okwi jezi yake namba 25.
Yanga
pia walimpa jezi hiyo, lakini leo Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya
Simba, Zacharia Hans Poppe amethibitisha kuwa Simba imempa Okwi namna
25.
Baada ya kupokea namba hiyo, Okwi kesho anapaa Zanzibar kuungana na wenzake ambao wako kambini kujiandaa na Ligi Kuu Bara.
0 comments:
Post a Comment