Kwangu
dole tupu: Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akifurahia baada ya
kuwasili na wachezaji wenzake mjini Cardiff kwa ajili ya mechi ya Super
Cup ya UEFA kesho mjini humo dhidi ya Valencia, zote za Hispania.

Cristiano Ronaldo (katikati) pia amewasili na Real mjini Cardiff kama anavyoonekana hapa akijadiliana na Marcelo



0 comments:
Post a Comment