Searching...
Monday, August 11, 2014

RASMI, MANGALA NI MCHEZAJI WA MANCHESTER CITY, AKAMILISHA KILA KITU

KLABU ya Manchester City imethibitisha kukamilisha usajili wa Eliaquim Mangala kutoka Porto, na mchezaji huyo amesema anataka kushinda mataji na mabingwa hao wa England.
Man City ambayo inakamilisha usajili wa mchezaji huyo siku moja baada ya kufungwa na Arsenal mabao 3-0 katika mechi ya Ngao ya Jamii, inaaminika wamelipa Pauni Milioni 32 kumpata mchezaji huyo. 
Beki huyo wa kati atavaa jezi namba 20 Uwanja wa Etihad, na pia amesema kusajiliwa kwa mchezaji mwenzake wa Porto, Fernando Man City kumesaidia.Done: Eliaquim Mangala has signed for Manchester City from Porto in £32million deal
Kifaa kipya: Eliaquim Mangala baada ya kusaini Manchester City 
Kimeeleweka: Eliaquim Mangala amesaini Manchester City akitokea Porto kwa Pauni Milioni 32

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!