Searching...
Wednesday, August 20, 2014

RAIS WA ATLETICO MADRID: MARCO REUS AMEGOMA KUJIUNGA NA MANCHESTER UNITED ITAKUWA SISI?

Kwa mujibu wa Raisi wa Atletico Madrid, mshambuliaji wa Borrusia Dortmund Marco Reus amekataa uhamisho wa fedha nyingi kwenda Manchester United. Raisi huyo alikuwa akijibu tetesi za kwamba Reus atajiunga na klabu yake, ndipo akasema "Reus amegoma kwenda klabu kubwa na yenye fedha kama United atakuja vipi kwetu Atletico ambao hatuna misuli ya fedha kama United."

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!