Searching...
Friday, August 8, 2014

HULL KUCHUANA NA LOKEREN YA UBELGIJI, TOTTENHAM USO KWA USO NA AEL LIMASSOL YA CYPRIOT LIGI YA EUROPA

Saviour: Sone Aluko scores the winning goal for Hull against AS Trencin
Mkombozi: Sone Aluko aliifungia goli pekee la ushindi klabu ya Hull City dhidi ya AS Trencin.
Pure joy: Sone Aluko celebrates scoring against AS Trencin to send Hull through to the next round
Furaha kubwa: Sone Aluko akishangilia baada ya kufunga dhidi ya  AS Trencin na kuwafanya Hull wafuzu hatua inayofuata.



HULL itachuana na Lokeren katika mechi mbili za raundi ya pili ya mtoano ya ligi ya Europa.
Kikosi hicho cha Steve Bruce kiliitandika AS Trencin ya Slovakia kwa wastani wa mabao 2-1 katika mchezo wa jana alhamisi na sasa watakabiliana na timu hiyo ya Ubelgiji.
Wakati huo huo, Tottenham watakabiliana na timu ya Cypriot ya  AEL Limassol, ambao wapo katika mashindano hayo baada ya kupoteza mechi  kwa mabao 3-1 dhidi ya timu ya Zenit Saint Petersburg chini ya Andre Villas-Boas katika mchezo wa raundi ya tatu ya kufuzu UEFA.

DROO NZIMA YA EUROPA

EUROPA LEAGUE PLAY-OFF ROUND DRAW

Sarajevo vs Borussia Monchengladbach
Apollon vs Lokomotiv Moscow
Astana vs Villarreal
Young Boys vs Debrecen
PEC Zwolle vs Sparta Prague
Spartak Trnava vs FC Zurich
Asteras vs Maccabi Tel-aviv
AEL vs Tottenham
Dnipro vs Hajduk Split
Dinamo Minsk vs Nacional
Qarabag vs FC Twente
Petrolul vs Dinamo Zagreb
HJK vs Rapid Vienna
Trabzonspor vs FC Rostov
Zimbru vs PAOK
Hajduk Split vs Torino
Omonia vs Dinamo Moscow
Aktobe vs Legia Warsaw
Lyon vs Astra
Lokeren vs Hull
Neftci vs Partizan Belgrade
Ruch vs Metalist
Elfsborg vs Rio Ave
PSV Eindhoven vs Shakhtyor
Karabukspor vs Saint-Etienne
Stjarnan vs Inter Milan
Panathinaikos vs Midtjylland
Feyenoord vs Zorya
Grasshoppers Zurich vs Club Bruges
Real Sociedad vs Krasnodar
Rijeka vs Sheriff
The two-legged ties will be played on August 21 and 28 

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!