Searching...
Sunday, July 27, 2014

TIMU YA THIERRY HENRY YAIGONGA KIDUDE ARSENAL

KLABU ya Arsenal imefungwa bao 1-0 na timu ya Nahodha wake wa zamani, Thierry Henry, New York Red Bulls usiku huu katika mchezo wa kujiandaa na msimu mjini New Jersey, Marekani.
Bao pekee lililoizamisha Arsenal inayofundishwa Mfaransa, Arsene Wenger lilifungwa na Wright-Phillips dakika ya 33.
Kikosi cha Arsenal kilikuwa; Szczesny/Martinez dk46, Jenkinson/Bellerin dk46, Hayden/Miquel dk46, Monreal, Gibbs, Arteta/Diaby dk46, Wilshere/Coquelin dk46, Ramsey/Flamini dk46, Zelalem/Akpom dk46, Cazorla/Olsson dk71 na Rosicky/Toral dk71.
New York Red Bulls; Robles/Meara dk81, Duvall/Kimura dk77, Olave/Armando dk46, Sekagya/Miazga dk61, Miller/Alexander dk46, Sam/Lade dk81, Cahill/Bustamante dk62, McCarty/Bover dk70, Oyongo, Henry/Luyindula dk54 na Wright-Phillips/Akpan dk46.

Kazi kazi: Thierry Henry akipambana na Jack Wilshere
Netted: Bradley Wright-Phillips scores against Arsenal
Bradley Wright-Phillips akiwatungua Arsenal
Old friends: Thierry Henry embraces Arsene Wenger
Thierry Henry akimtania Arsene Wenger

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!