Home
»
Unlabelled
» USHAHIDI WA PICHA ZA KUKAMATWA KWA ERIC CANTONA
Mwanasoka
wa zamani wa Ufaransa na klabu ya Manchester United Eric Cantona akiwa
chini ya ulinzi wa polisi baada ya kukamatwa baada ya kumfanyia
shambulio la mwili mtu mmoja huko London Uingereza.
0 comments:
Post a Comment