Searching...
Wednesday, June 5, 2013

TASWIRA ZA KUAGA MWILI WA MANGWEA

 
 
 Wananchi wakiaga mwili wa marehemu Albert Mangweha.
Mwanamuziki Madee akielekea kuuaga mwili wa Ngwea.
Diamond Platnumz naye akiwa katika msafara wa kumuaga Mangweha.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa wakati wa zoezi hilo.
Wananchi wakielekea kuaga mwili wa marehemu.
Sehemu ya waombolezaji.
Natasha, Mwakifwamba na Dude nao walikuwepo.
Ali Kiba na mdogo wake, Abdul Kiba wakifuatilia zoezi la kuaga mwili wa marehemu.
Diamond akiperuzi katika simu yake.
Pichani juu ni baadhi ya waombolezaji waliojitokeza katika Viwanja vya Leaders kwa ajili ya kuuaga mwili wa marehemu Albert Mangweha kablya ya kupelekwa mkoani Moro kwa mazishi yatakayofanyika kesho

Kwa hisani kubwa ya globalpublishers



Edited:by Abuu.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!