Searching...
Sunday, May 12, 2013

SIR ALEX FERGUSON AWAAGA MASHABIKI WA MAN UTD OLD TRAFFORD

 
 Kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, akisalimiana na mashabiki baada ya kuingia uwanjani Old Trafford kwa mechi ya timu yake dhidi ya Swansea City leo.

 
Sir Alex akisaini 'autographs' baada ya kuwasili uwanjani Old Trafford.…
 
Kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson, akisalimiana na mashabiki baada ya kuingia uwanjani Old Trafford kwa mechi ya timu yake dhidi ya Swansea City leo.
 
Sir Alex akisaini 'autographs' baada ya kuwasili uwanjani Old Trafford.

 
Mashabiki wa Manchester United wakiwa na mabango wakati wa mechi ya timu yao dhidi ya Swansea City.
Mashabiki wa Manchester United leo wamemuaga kocha wao Sir Alex Ferguson ambaye anastaafu kuifundisha timu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Ferguson amewaaga mashabiki wa Man Utd wakati wa mechi yake ya mwisho katika uwanja wa nyumbani wa Old Trafford dhidi ya Swansea City. Kocha huyo aliyedumu klabuni hapo takribani miaka 27 baada ya kustaafu kuifundisha timu hiyo itakuwa chini ya kocha wa Everton, David Moyes.

Edited:by Abuu

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!