Searching...
Thursday, April 18, 2013

Mbaloni kwa Kufanya Ngono na Binti yake wa Kumzaa

Mkoa wa Mbeya hauishi vituko, Polisi wa jijini Mbeya wanamshikilia Faza/Mdingi mmoja aitwaye Asajile Mwamtima (46) wa kijiji cha Syukula Rungwe baada ya kumvizia binti yake wa kumzaa mwenye umri wa miaka (13) aliye kuwa akikolofisha dinners na kumshawishi binti huyo afaidi japo kuingiza kichwa tu, Msure huyo alifanikiwa kumwimbisha binti yake huyo wa kumzaa mwenye ugonjwa wa kifafa na kula mzigo kwa mtindo wa kula mbakishie baba, Mdingi huyo aliingia na pepo la kumega binti yake baada ya mke wake kusafiri kwenda kijiji cha jirani kusalimia mgonjwa.
Nawaonya madingi wenye tabia za kikuda kama hizi kuacha mara moja kuna midingi mingine inawatolea udenda hata mabinti zao wa kambo achilia hiyo midingi mingine inashawishi kumega mashemeji zao, mabinamu zao, jamii inapaswa kukemea tabia mbaya hizi.

Edited:by Abuu

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!