Searching...
Thursday, August 30, 2012

CLOUDS MEDIA GROUP WATOA MISAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA, TANGA

 Msanii wa Kizazi Kipya, Juma Nature akiwa amebeba moja ya mizigo iliyotolewa katika Kituo cha watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia kilichopo Raskazone, Tanga akimkaribisha Afisa Mahusiano wa CloudsMedia Group Simalenga Simon wakati alipoiongoza timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012 kutoa misaada katika kituo hicho..
 Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia kilichopo Raskazone, Tanga akimkaribisha Afisa Mahusiano wa CloudsMedia Group Simalenga Simon wakati alipoiongoza timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012 kutoa misaada katika kituo hicho.
Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia kilichopo Raskazone, Tanga akizungumza na kuwakaribisha wageni.
 Watoto Yatima wa kituo cha Casadella Gioia wakiwakaribisha
wageni kwa kuwaimbia wimbo.
 Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego akiwakaribisha wageni mara baada ya kuungana na Watoto Yatima wa kituo Casadella Gioia mara baada ya timu nzima ya Clouds Media Group kutembelea kituo hicho.
 Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia kilichopo Raskazone, Tanga akipokea misaada kwa Afisa Mahusiano wa  Clouds Media Group Simalenga Simon (wakiwa wameshikana Mikono) katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego.
 Wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
 Wasanii waliotembelea kituo hicho. Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioiakilichopo Raskazone, Tanga akiwakaribisha wageni.
 Watoto wakisikiliza kwa makini.
 Afisa Mahusiano wa Clouds Media Group Simalenga Simon akieleza
machache kabla ya kukabidhi misaada yao.
 Msanii wa Kizazi Kipya Godzilla akieleza machache mbele ya wageni.
 Msanii wa Kizazi Kipya, Juma Nature akitoa machache.
 Baadhi ya viongozi wa Kituo hicho walipoungana na watoto
kuwapokea wageni.
Kiongozi wa Watoto akiwatambulisha wenzake wakati walipotembelewa na Timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012 ilipotembelea kituoni kwao.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!