Waziri
wa Mambo ya Ndani Dkt. Emmanuel Nchimbi(kushoto) , Naibu Waziri wa
Habari, vijana ,Utamaduni na Michezo Amos Makalla(katikati) na Mbunge wa
Viti Maalum (CCM) Anna Abdallah wakibadishana mawazo leo mjini
Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha
Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Hesabu za Serikali na pia Mbunge wa Bariadi Mashariki
John Cheyo(kulia) ,Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia
January Makamba(katikati) na Andrew Chenge(kushoto) wakibadishana
mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya
kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na serikali za
Mitaa(TAMISEMI) Hawa Ghasia (kushoto) wakibadishana mawazo leo mjini
Dodoma na Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt. Milton Makongoro
Mahanga(kulia) mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha
pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Waziri
wa Habari, vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na
Naibu Wake Amos Makalla(kulia) wakijadiliana jambo leo mjini Dodoma
mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha pili cha
Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Naibu
Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai(kushoto) akiwa na Mbunge wa
Iramba mashariki Mwigulu Nchemba(kulia) wakibadilishana mawazo leo
mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya kikao cha
pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Mwanasheria
mkuu wa Serikali(AG) Jaji Frederick Mwita Werema(kulia) akibadilishana
mawazo na Mbunge wa Kigoma Kusini David Kafulila(kushoto)
wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha
maswali na majibu kumalizika.
Naibu
Waziri wa Kazi na Ajira Dkt Milton Makongoro Mahanga (kushoto)na Naibu
Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum(kulia) wakijadiliana mara baada ya
kipindi cha maswali na mjibu kumalizika leo mjini Dodoma.
Waziri
wa Nchi ofis ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika(kulia)
akijadiliana jambo jana mjini Dodoma na Mbunge wa Jimbo la Tanga mh.
Omar Nundu (kushoto) mara baada ya kipindi cha maswali na majibu ya
kikao cha pili cha Mkutano wa nane wa Bunge kumalizika.
Mwenyekiti
wa Simba Sport Club ambaye pia ni Mbunge wa Tabora mjini Ismail Aden
Rage(kushoto) akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa Maji Dkt Binilith
Satano Mahenge (kulia) leo mjini Dodoma mara baada ya kipindi cha
maswali na majibu kumalizika:


0 comments:
Post a Comment