Azam
yaamua kufanya kweli na hivi karibuni meli ya kisasa iko mbioni
kuzinduliwa ambayo ikawezesha watu kwenda na magari yao Zanzibar. Meli
hiyo inauwezo kubeba magari 200, abiria 1500 na Mizigo tani 500.
---
KAMPUNI ya
Usafiri wa baharini ya Azam Marine inatarajia kuzindua meli kubwa ya
kisasa kwaajili ya abiria waendao Dar es Salaam, Pemba na Unguja. Meneja
Mkuu wa kampuni hiyo Hussein Mohamed Said, amesema Julai 15 mwaka huu
meli hiyo yenye urefu wa mita 100 itazinduliwa.
Meli hiyo inavyo onekana kwa ndani
---
---
Mohamedi
alisema shida ya usafiri itapungua kwa asilimia kubwa kutokana na meli
hiyo kuwa na uwezo wa kubeba abiria 1500, Mizigo tani 500 na magari 200
ambapo abiria atakae jisikia kwenda na gari lake Zanzibar, Pemba au Dar
es Salaam ataweza kufanya hivyo.
Waziri Mwenye dhamana ya Mawasiliano na Miundombinu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hamadi Masoud, alithibitisha kwamba anataaarifa za ujio wa meli hiyo ambayo alisema kwa kiasi kikubwa itakuwa ni ya kutoa huduma tu na siyakutengeneza faida.

Meli hiyo inauwezo wa kwenda kasi ya notkomail 20.
Meli hiyo kwa nje
Source: Raha za Pwani

0 comments:
Post a Comment