Searching...
Thursday, February 2, 2012

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Akutana na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana
Watendaji wa Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na watendaji hao katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo jana
Watendaji wa Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Picha na Ramadhan Othman IKULU-ZANZIBAR

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!