Searching...
Friday, February 3, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AZINDUA KAMBI YA VIJANA WAJASILIAMALI YA MKOA WA PWANI KIJIJI CHA MSOGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifyatua tofali ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi mashine hizo za kufyatulia matofali ya bei nafuu na uzinduzi wa kambi ya Vijana 400 Wajasiliamali, wakati alipofika kuzindua kambi hiyo iliyopo Kijiji cha Msoga Mkoa wa Pwani, leo Januari 03, 2012 akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Pwani. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia na kusikiliza maelezo ya jinsi ya uandaaji wa tofali la bei nafuu kutoka kwa Fundi Sanifu Ujenzi, Husein Mataka, wakati alipofika kuzindua kambi ya Vijana 400 wajasiliamali  iliyopo Kijiji cha Msoga Mkoa wa Pwani, leo Januari 03, 2012 akiwa katika ziara yake ya mkoa wa Pwani.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHBRA), Dkt. Simon Kintingu, kuhusu utengenezaji rahisi wa mabati ya Vigae, wakati Makamu alipofika kuzindua Kambi ya Vijana 400 Wajasiliamali walioanza kambi hiyo leo kwa lengo la kujifunza utengenezaji wa vigae na ujenzi wa nyumba za bei nafuu, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo Februari 03, 2012.
Picha na Muhidin Sufiani-OMR

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!