Searching...
Sunday, January 1, 2012

Rais Jakaya Kikwete Auaga Mwaka 2011 na Kuupokea Mwaka 2012 Kwa Staili ya Aina Yake Kijijini Kwake Msoga

Fashifashi ziking'arisha anga ya kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani ambako Rais Jakaya Kikwete alijumuika na wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011 na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.

Rais Jakaya Kikwete alijumuika na wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wakaazi wa kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipojumuika nao wanakijiji wenzake kuuaga mwaka 2011 na kuupokea mwaka 2012 kwa mkesha uliopambwa na ngoma za utamaduni na fashifashi.
Picha na IKULU

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!