Searching...
Saturday, January 28, 2012

THE GREATEST NDANI YA HONG KONG

Kama kawaida watu wangu niliwaambia kuwa nilienda nchi tatu hapa sasa nipo Hong Kong, nikiwa ndani ya treni ya umeme nikielekea matembezini, kuna mdau mmoja alisema China na Hong Kong ni nchi moja sikweli kaka ni nchi mbili tofauti hata unapotoka Hong Kong kwenda china unaingia kwa viza na hata Muong kong anaingia China kwa viza pia, Mdau kwa hiyo tusiwe wajuaji sana wakati hatujui tujifanye wajinga ili tuweze kuwa welevu

Cheki mji huo jamani sijui viongozi wetu wa nchi wanapopata ziara za nje ya nchi hawajifunzi kitu kutoka kwa wenzetu mimi naamini nchi yetu tuna kila kitu kwanini tuashindwa kuijenga nchi yetu inauma sana jamani

Umati ni mkubwa sana sasa kwanini nchi isiwe ya kitajiri, wewe cheki mwenyewe na hii ni kawaida wala si kitu cha kushangza kwao yani kupishana ni tabu kweli kweli

The Greatest katika pozi

Nikipata picha ya kumbukumbu

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!