
Rais Jakay Kikwete akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Mh Henri De Raincourt wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii Tanzania Bi Agnes Mziray mara wakati wa sherehe za uzinduzi wa jengo jipya la chuo hicho lililopo mtaa wa Garden Avenue na Shaaban Robert mkabara na Chuo cha IFM na Makumbusho ya Taifa na nyumba ya Utamaduni


Champaine inafunguliwa

Kukata utepe

Kuzindua plakadi

Kubinjua pazia


michuzi matukio blog
0 comments:
Post a Comment