Searching...
Monday, December 26, 2011

HAPPY BIRTHDAY YA KUZALIWA MAMAA WA MITINDO ASIA IDAROUS YAFANA SANA KWENYE KIOTA CHA NYUMBANI LOUNGE

 Keki ya Besdei yenye kuonyesha namba 52 ikiwa ni umri mpya wa Da' Asia Idarous Khamsini.
 Da' Asia Idarous Khamsini akifurahia siku yake hiyo.
 "wimbo wa hepi besdei ukiimbwa."
 Mdau wa Marekani akimlisha keki Da' Asia Idarous Khamsini.
 Mdau akilishwa keki na Da' Asia Idarous Khamsini
 Hivi ndivyo Mambo yalivyokuwa ambapo baadae yaliangushwa magoma makali makali toka kwa wadau 
 wa GrooveBack Nite chini ya Mkali Peter Moe.
CHANZO: michuzi-matukio blog

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!