Searching...
Friday, November 11, 2011

Mkurugenzi Mtendaji Wa Globeleq -Songas Akutana na Rais Jakaya Kikwete

 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji Wa Globeleq -Songas ambayo ni kampuni ya Songas Bw Mikael Karisson Walipomtembelea Rais Jakaya Kikwete Ikulu Jana Jijini Dar es Salaam kwa Mazungumzo
Rais Jakaya Kikwete Akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji Wa Globeleq -Songas Bw Christopher Ford na Maofisa wa kampuni hiyo jana Ikulu Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni Ya 1 Plus Bi Fina Mango aliyeongozana na Ujumbe huo.
Picha na IKULU

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!