Searching...
Sunday, October 23, 2011

Wizaya Ya Mambo Ya Nje na Ushirikiano Wa Kimataifa Yaadhimisha Miaka 50 Ya Uhuru

Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa kimataifa Bernald Membe akizungumza katika maazimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania katika wizara hiyo yaliyofanyika jana, kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja na kuhudhuriwa na wafanyakazi pamoja na mabalozi wastaafu mbalimbali. 
Mfanyakzi bora wa jumla katika wizara ya mambo ya nje Bw.Seif Kondo kulia kutoka kitengo cha habari akipokea cheti cha ufanya kazi bora kutoka kwa Waziri Bernald Membe.
Waziri Bernald Membe akimkabidhi cheti cha ufanyakazi bora Grace Mjuma Kaimu mkurugenzi Idara ya Mawasiliano ya Kikanda.
Waziri Bernald Membe wa tatu kutoka kulia akiwa amekaa meza kuu pamoja na mabalozi wastaafu walioshiriki katika maadhimisho hayo.
Kundi la THT kutoka jijini Dar es salaam likitumbuiza katika maadhimisho hayo
Wafanyakazi wa Wizara ya mambo ya nje wakishiriki katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania katika wizara hiyo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika maadhimisho hayo viwanja vya Mnazi Mmoja jana.
Wafanyakazi wa Wizara ya mambo ya nje wakishiriki katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania katika wizara hiyo.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!