Searching...
Wednesday, August 17, 2011

SIKU WANATOLICHOKI WALIPOMSINDIKIZA MWENZAO AIRPORT BWANA MOHAMED KHAMIS (MZEE WA URARY95 BLOGSPOT) AKIREJEA NYUMBANI BONGO

"Nenda salama ndugu yangu nakutakia maisha mema" ndivyo anaonekana Bwana Kevin akisema.
Kutoka kulia ni Mohamed Best(Almaarufu), Ally(24 Seven 365 Blog), Jamil na Ally Muhsin.
Mohamed Khamis(Mwanalibeneke Urary95.blogspot.com/) flana ya njano kushoto.
Mohamed akiwa na Kevin katika kuweka kumbukumbu.
Kulia Bwana Mohamed, Bi Neema na Bwana Nasibu.
Nasibu (aka Nass Jr.) akiwa na Bi Neema
Hapa ni kuashiria Furaha "Mambo Mazuri narejea Nyumbani".
Bwana Kevin anaonekana akimweleza jambo muhimu Bwana Mohamed.
Mohamed akiwa Ally.
Mohamed akiwa Jamil.
HABARI NA PICHA KWA HISANI YA 24 SEVEN 365.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!