Afisa uhusiano wa Airtel, Jane Matinde (kulia) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni tano kwa Naibu Mkuu wa Chuo cha Uhandisi na Teknolojia UDSM, Prof. Felix Mtalo kwa lengo la kuchangia semina maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya kusherehekea miaka 50 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salam itakayofanyika tarehe 10 hadi 11 Agosti 2011. Kushoto ni mwenyekiti wa kamati ya maandalizi, Dk.Juma Mohamed.


0 comments:
Post a Comment