Searching...
Wednesday, July 13, 2011

Watu 110 wahofiwa kufariki kwenye ajali ya meli nchini Russia

Habari mpya kutoka kwa shirika la habari la Reuters zinasema, watu wapatao 110 wamehofiwa kufariki dunia baada ya meli walimokuwa wakisafiria kuzama katika mto Volga, Russia.
Wizara ya dharura ya Russia imesema watu 185 walikuwa kwenye meli hiyo. Rais Dmitry Medvedev wa Russia ameamuru kuundwa kwa jopo kuchunguza ajali hiyo.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!