Searching...
Thursday, July 14, 2011

SIKU MKURUGENZI MKUU WA TOLICHOWKI HAPA HYDERABAD ALIPOAGWA RASMI KUREJEA NYUMBANI TANZANIA

Mkurugenzi mkuu wa tolichowki hapa mjini hyderabad INDIA Mh.MUSTAFA SAID a.k.a Matata ama tata boy au B.I.G ukipenda akiagwa rasmi tayari kwa kurejea Tanzania baada ya kumaliza masomo yake hapa hyderabad ilikuwa ni shamrashamra iliyoje sababu alikuwa mtu wa watu sana tunakutakia kiila la kher kaka katika maisha mapya baada ya shule....!!
Hii ilikuwa picha ya pamoja kwa wana mji wa tolichowki mjini Hyderabad wa katikati mwenye shati jeusi ndie Mkurugenzi mwenye Bonge a.k.a Matata ama tata boy

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!