Ripoti hiyo imetolewa kwenye mkutano ambao unahudhuriwa na wataalamu kutoka Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara mjini Roma Italia wakijadili jinsi ya kuhifadhi chakula kisipotee bure.
Ripoti hiyo iitwayo Missing Food, hali ya nafaka zinazopotea baada ya mavuno Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara iliyoandaliwa kwa ushirikiano na taasisi ya mali asili ya Uingereza inakadiria kwamba thamani ya nafaka zinazopotea baada ya mavuno ni takribani dola bilioni 4 kwa mwaka
0 comments:
Post a Comment