Searching...
Thursday, March 31, 2011

Kiongozi wa China atoa mwito wa kutatua kiamani suala la Libya

Rais Hu Jintao wa China tarehe 30 hapa Beijing alipokutana na rais Nocolas Sarkozy wa Ufaransa alisema, upande wa China unaunga mkono juhudi zote zinazosaidia kupunguza hali wasiwasi ya Libya kwa hivi sasa, na kuzitaka pande zote zinazohusika zisimamishe vita mara moja, zitafute ufumbuzi wa kiamani wa tatizo, ili kuepusha vifo na majeruhi ya raia wengi, na kuifanya Libya irudi katika hali ya utulivu haraka iwezekanavyo.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!