Searching...
Sunday, May 2, 2010

TAFRIJA YA KUMUAGA KATIBU MSTAAFU WA JUMUIYA WATANZANIA MJINI HYDERABAD

Toka kushoto ni Katibu Mstaafu Bw.ABDALLAH MBAROUK,ABDUL-AZIZ na MUSTAFA a.k.a Tata boy.aliyechuchumaa ni Mwenyekiti wa sasa wa jumuiya ya wanafunzi waishio Hyderabad Bw.ABDILLAH D. NKYA.wakipata picha ya pamoja kabla ya tafrija hiyoo.
Bw.Tata boy kama wanavyomuita akitoa maelekezo machache kwa baadhi ya wageni,Toka kushoto ni Makamu Mwenyekiti mstaafu Bw.SADALLAH MBEYU,pili yake ni Bw.NASSIB IBRAHIM(NASS),mwisho kabisa ni mtoaji habari wa jumuiya hiyo Bw.DANI MSEMO.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiteta jambo kabla ya tafrija kuanza
Hapa Makamu Mwenyekiti mstaafu akifurahia jambo pamoja na wageni waalikwa kati yao Bw.SAMWEL moja kati wageni pia alikuwepo.
Mbali kabisa ni Bwana ALLY MGIDO(mzee wa 24 seven 365,allyshams.blogspot.)
Mwenyekiti wa jumuiya yetu akitafakari jambo kidogo huku akiwa na mtoa habari wetu pembeni.
Muda ulipofika wa maakuli mzee wa kurekebisha mambo hakuwa mbali hapa akitoa maelekezo kwa kila jambo kuenda sawa kama lilivyopangwa,hapa yupo jikoni.
Makamu mwenyekiti mstaafu akiwajibika vilivyo kwa kuandaa mambo vizuri hili waalikwa wapate chochote kitu hiyo hapo ni juisi ya ukwajuuuuuuuuuuuuuuuu.
mambo kama hayo hapo yanavyoendeleaaaaaa
sasa mambo yameanzaa kama unavyooona hapo waalikwa wanachukua chakula na kupata chochote.
Mmoja kati ya waalikwa Bw.YOUNG JUNIOUR a.k.a mpota kitambo sana karibu tena kaka
hapo mambo ya maakuli yakiendelea kama unavyowaona wageni waalikwa Bw.ALEX GONDWE akiwa na Mpota
Mmoja kati wa waalikwa Dada yetu Bi.FLAV akipata mlo wake huku akishughulika na simu yake.
Mambo yakiendelea wageni wakipata mlo kwa pamoja,mbali kabisa namuona Bw.AHMED MWINYIALLY akiteta jambo na Bw MUREY pale.
Bw MUREY WALID kama unavyomuona hapo akipata juisi ya ukwaju.
Makamu mwenyekiti mstaafu akiteta jambo a katibu mstaafu hapo baada ya kumalizika kwa tafrija hiyo.
mambo yamekwisha jamani namuona Bw.Tata boy akiaga hapa.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!