Searching...
Thursday, April 29, 2010

Uzinduzi wa lovely gamble funika bovu

Mamaa Dontinata akigonganisha glasi ya champeni na Allan Kalinga, mmoja wa Maprodyuza wa filamu ya Lovely Gamble iliyozinduliwa usiku wa kuamkia leo Club Billicanas jijini Dar
Mwenyekiti Mtendaji wa African Stars Entertainment Bw. Baraka Msiilwa (kulia) akimtunuku hati Allan Kallinga huku prodyuza mwenzie Da'Asha Baraka akisherehesha

Stelingi mkuu wa Lovely Gamble Steve Kanumba the Great akipokea hati yake huku MC Claude akisherehesha
Steve Kanumba the Great akila pozi na Baraka Msiilwa. Nyuma yao ni Da'Asha na MC Claude
Club Billicanas palikuwa hapatoshi
Da'Asha akiwasili na kausafiri kake
foleni ya kuingilia ndani
We Amos una ngapi...? Aboubakar Liongo na wadau wengine wakichangishana kiingilio.
Da' Asha na wadau kabla ya kuingia ukumbini
Papaa Mussa Kissoky na kikosi kazi chake cha Sofia Productions walirekodi kila tukio
Mwenyekiti Mtendaji wa Clouds Media Group Joseph Kusaga (shoto) na Mkurugenzi Ruge Mutahaba walikuwepo kwenye uzinduzi wa Lovely Gamble
Papaa Amos Msanjila akiwa kawekwa kati na Stev Kanumba na Allan Kalinga
Meza kuu
wadau wakichill..
Toka shoto ni Angetile Osiah, Masoud Bitebo, Kelvin Twissa na Aboubakar Liongo
magwiji wa tasnia ya filamu walikuwepo pia
stelingi wa kike aliyecheza Lovely Gamble, Mecky (kulia) akiwa na wadau
Papaa Baraka Msiilwa akipozi na wadau
wasanii nyota walikuwepo pia

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!