Miss universe 2010/11 ni Hellen Dausen (23) kutoka mkoani Arusha akipunga mkono baada ya kutwaa taji la umalkia huo nchini katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
A-taun yanyakua taji la miss universe
Miss universe 2010/11 ni Hellen Dausen (23) kutoka mkoani Arusha akipunga mkono baada ya kutwaa taji la umalkia huo nchini katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

0 comments:
Post a Comment