Kituo cha kurushia satellite cha Taiyuan, China leo alfajiri kimefaulu kutumia roketi ya "Changzheng nambari 4 C" kurusha satellite ya kutambua kutoka mbali na kuifikisha kwenye njia iliyopangwa.
Habari kutoka shirika la habari la China Xinhua zinasema, satellite hiyo iliyorushwa itatumika kwa ajili ya majaribio ya kisayansi, uchunguzi wa maliasili, kukadiri wa mazao ya kilimo na kuzuia na kupunguza athari za maafa.
0 comments:
Post a Comment