
Hapa ni maeneo ya karibu ya uwanja wa kumbukumbu ya wanajeshi maarufu kama kijiji cha miaka ya 21 mbele yake ni hostel ya usagara.

Hii ni Uhuru Park uwanja wa kumbukumbu ya wanajeshi waliopigania uhuru,sasa hivi wananchi wanahutumia uwanja huu kama sehemu ya mapumziko

Maeneo ya mjini Tanga kama panavyoonekana
0 comments:
Post a Comment