Sumsung Tanzania waja na Huduma ya E-W
Meneja mkazi wa sumsung Tanzania na uganda,simon kaiithakizungumza na waandishi wa habari Dare-es-salaam juu ya kuanza kwa huduma ya e-warranty ambapo mteja wa simu ya sumsung atatuma ujumbe mfupi ulio na namba ya IMEI ili kutambua ubora wa simu hiyo na iwapo simu hiyo ni ya wizi au iliibiwa.kulia ni meneja mkuu wa sumsung kanda ya afrika mashariki na kati,anayeshughulika na simu Patricia king'ori
0 comments:
Post a Comment