BLATTER NA PLATINI WAHOJIWA KUHUSU UHALALI WA QATAR KUPEWA UENYEJI KOMBE LA DUNIA
Maafisa wa Fifa akiwemo Rais wa chama hicho,Sepp Blatter na Michel Platini wamehojiwa kuhusu uhalali wa mkataba wa kuandaa ...
HATIMAYE MASHABIKI WASIOMTAKA MOYES KUPITISHA NDEGE JUU YA PAA LA OLD TRAFFORD ITAKAYOBEBA UJUMBE WA KUMTAKA KOCHA HUYO AONDOKE
Mashabiki wa Manchester United wanaochukizwa na mwenendo wa timu yao chini ya uongozi wa David Moyes wamefanikiwa kupata ndege itaka...
TAKWIMU YA SIKU: LUIS SUAREZ ANAHITAJI MABAO 4 KUVUNJA REKODI YA RONALDO NA SHEARER EPL
Luis Suarez anahitaji magoli (4) tuu ili aweze kuvunja rekodi ya Alan Shearer na Christiano Ronaldo ya kufunga magoli (31) katika msimu...
PEP GUARDIOLA AIONGOZA BAYERN KUTWAA UBINGWA WA HARAKA ZAIDI KATIKA HISTORIA YA BUNDESLIGA
History iliandikwa jana usiku! FC Bayern München wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa 23 wa Bundesliga baada ya michezo 27 tu - huu ndio ub...
YANGA YAFANYA MAUAJI TAIFA, YAIGONGA PRISONS 5 - 0
Kikosi cha timu ya Yanga SC kilichoanza dhidi ya Tanzania Prisons ya Mbeya leo. Kikosi cha Prisons kilichokula 5-0 leo taifa. Hekahe...
Nafuu kwa Oxlade-Chamberlain na Gibbs
Refa Andre Marriner alikosea kwa kutoa kadi nyekundu: FA Wachezaji wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain na Ki...
JOHAN CRUYFF: "NEYMAR NDIO TATIZO FC BARCELONA"
Gwiji wa soka wa FC Barcelona Johan Cruyff anaamini kwamba Neymar ni tatizo kubwa ndani ya klabu ya Barca, hii ni kutokana na mshaha...
KAULI YA SIKU: SAMUEL ETO'O - GUARDIOLA ALITAKA KUNIFUNDISHA USHAMBULIAJI WAKE YEYE ALIKUWA KIUNGO."
Samuel Eto'o akimzungumzia Guardiola: "Nilifanyia mengi FC Barcelona. Guardiola alijisahahu na kunichezesha kwa dakika 20 ...
CHELSEA YATOA KIPIGO KITAKATIFU KWA ARSENAL
Wachezaji wa Chelsea wakishangilia baada ya kuifunga Arsenal bao la tano leo...
BREAKING NEWS: MAN UNITED YAPANGWA NA BAYERN MUNICH ROBO FAINALI CHAMPIONS LEAGUE
Barcelona v Atletico Madrid Real Madrid v Borussia Dortmund Paris St Germain v Chelsea Manchester United v Bayern Munich ...
REAL MADRID HAWAJAPOTEZA MECHI KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 5 ILIYOPITA - JE BARCA WATAIVUNA REKODI HIYO KWENYE EL CLASSICO WIKIENDI HII?
Real Madrid C.F. hawajapoteza mechi hata moja katika kipindi cha miezi 5 iliyopita - FC Barcelona ndio timu ya mwisho kuifunga Real Mad...
BAO LA KAVUMBAGU DHIDI YA AZAM LAMUUA SHABIKI WA YANGA SC
SHABIKI wa Timu ya Yanga SC, Deodatus Isaya Lusinde, mkazi wa Kipunguni A, amefariki dunia leo baada ya kuanguka ghafla wakati akishan...
MAN UNITED VS WEST HAM: SAM ALLARDYCE ANAKUTANA NA MWANAFUNZI WAKE MOYES ALIYEMTOA SCOTLAND NA KUMLETA ENGLAND
Zikiwa zimebakia siku kadhaa kabla ya mechi ya West Ham United vs Manchester United wikiendi hii, kocha wa West Ham Sam Allardyce, ...
VAN PERSIE AINUSURU MAN UNITED
Robin van Persie akishangilia moja ya bao alilofunga usiku wa kuamkia leo walipo...
LIONEL MESSI AIVUNJA REKODI ILIYODUMU MIAKA 80 - AWA MFUNGAJI BORA WA MUDA WOTE WA FC BARCELONA
Mshambuliaji Lionel Messi jana alivunja rekodi na kuweka rekodi mpya ndani ya klabu ya FC Barcelona baada ya kufunga mabao matatu kati...
ZAMANI SIMBA , YANGA ILIKUWA GUMZO MTAANI, SASA YANGA VS AZAM FC WATU HAWALALI, KITAELEWEKA TAIFA KESHO KUTWA!!
Na Baraka Mpenja, Dar es salaam 0712461976 KUELEKEA katika mechi ya keshokutwa ndani ya dimba la Taifa, jijini Dar es salaam...
MOYES AENDELEA KUVUNJA REKODI ZA UNITED - MAN UNITED KWENYE NAMBA
1. Mchezo wa kwanza kwa Manchester United kupoteza nyumbani dhidi ya Liverpool baada ya kushinda michezo sita ndani ya miaka mi...
KUELEKEA KOMBE LA DUNIA - NANI KUWA MFUNGAJI BORA WA FAINALI ZA 20 BRAZIL
Hizi ni fainali za 20 za kombe la dunia, zijue timu zilizowahi kutwaa ubingwa wa kombe la dunia pamoja na wafungaji wa michuano hiyo...
SPORTS>>>WEST BROM WAMTIMUA KABISA ANELKA KWENYE LIGI YA ENGLAND
Klabu hiyo iliamua kuchukua hatua hiyo baada ya Anelka kutangaza kupitia mtandao wa kijamii kuwa anaacha kazi. Taarifa zinazohusiana Mich...
Nani boost for United
Nani has returned to training to boost David Moyes’ midfield options ahead of Sunday’s Barclays Premier League blockbuster with Liver...
RAIS WA BAYERN MUNICH AJIUZULU BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA
Raisi wa klabu bingwa ya Bayern Munich Uli Hoeness amejiuzulu kwenye nafasi yake ya uraisi wa klabu hiyo na amesema ameamua kutokata ru...
MKALI NANI: IPI SAFU KALI YA USHAMBULIAJI KATI YA SUAREZ NA STURRIDGE VS ROONEY NA VAN PERSIE
Kuelekea mchezo wa watani wa England, Manchester United vs Liverpool wikiendi hii - tujadili ipi ni safu kali ya ushambuliaji baina ya ...
VAN PERSIE: NINA FURAHA MAN UNITED, NA NINATAKA KUENDELEA KUWA HAPA HATA BAADA YA MKATABA KUISHA."
Mshambuliaji Manchester United Robin van Persie amesema rasmi kwamba anataka kubakia Old Trafford kwa muda mrefu. Mwanasoka huyo mwe...
USHAHIDI WA PICHA ZA KUKAMATWA KWA ERIC CANTONA
Mwanasoka wa zamani wa Ufaransa na klabu ya Manchester United Eric Cantona akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kukamatwa baada ya k...
ERIC CANTONA ARIPOTIWA KUKAMATWA KWA KUMSHAMBULIA MTU LONDON
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Eric Cantona amekamatwa jijini London akituhumiwa kufanya shambulio la mwili. Mwanasoka huyo...
HATIMAYE RAISI WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI
Rais wa Bayern Munich amehukumiwa kwenda jela kwa kifungo cha miaka mitatu na miezi sita kutokana na kosa la kukwepa kodi. Uli Hoeness, ...
MAN UNITED YAFUNGUA MAZUNGUMZO NA SPORTING LISBON KUMSAJILI WILLIAM CARVALHO
Manchester United imefungua majadiliano na klabu ya Sporting Lisbon juu ya uhamisho wa kiungo mkabaji wa William Carvalho. Meneja wa ...